AIR, COMBUSTION, RUSTING AND FIRE FIGHTING
I. AIR
HEWA
Air is a mixture of different gases
Hewa ni mchanganyiko wa gesi mbalimbali
CHARACTERISTICS OR PROPERTIES OF AIR
Tabia au sifa za hewa
It is colourless, odourless and tasteless
Haina rangi haina harufu na haina ladha
It is insoluble
haiyeyuki
It is neutral to the nature of litmus paper
Haibadili asili ya karatasi ya litmasi
KWA NOTES ZAIDI WASILIANA NASI
KWA NJIA YA WHATSAPP
GUSA HAPA